Breaking News

MAMBO WANAYOFANYA WANAUME NA YANAYO PUNGUZA UPENDO (MAPENZI) KWA MWANAMKE



MAMBO WANAYOFANYA WANAUME NA YANAYO PUNGUZA UPENDO (MAPENZI) KWA MWANAMKE

Uajua wanaume nao ni chanzo cha kuwafanya waonekane kama kero kwa wapenzi wao kwa mambo wanayoyafanya na kuona kua ni sahihi

Yapo mambo mengi wanakosea lakin inawezekana hawajui kua wanakosea

01. HAWAACHI ILA WANATENGANA

Katika uchunguzi wangu katika mapenzi nimegundua baadhi ya wanaume wengi hawaachi ila wanatengana tu na ma EX~GIRL FRIEND wao labda tu itokee yeye ndo kaachwa lakin atatumia mbinu za kubembeleza asamehewe pia anaweza kutumia gharamia mapenz ili tu awe nae kwakua tu anahisi kuachwa kwake ni kama tusi

Mara nyingi wanatumia kitu (sabab ya hasira) kwaajili ya kubembeleza,

Ninaposema mwanaume haachi ila wanatengana tu namaanisha kuwa, pind wanapoona mapenz yanapodorora kwa wapenz wao wapya huwarudia wale waenz wao wazaman

tabia hii inafamyq mwanamke kuto kuamin uwepo wako kwake na kutokujipa nafas kwako
Hii inamvunja moyo akiona mtu ulie mwambia alishawah kua mpz wako lakin mliachana ila bado mnawasiliana kwa sms za "baby" "ma lov" "i miss you" lazma roho iume na kuanza kukutoa moyon na upendo kupungua

02.ANAJALI RAHA ZAKE KULIKO MATATZO YA MWANAMKE

Hili ni jambo lisilo pingika kuwa baadhi ya wanaume ni ving'ang'aniz katika suala zma la kusex pindi wanapo hitaji
Yan tabia ya mwanaume haijui kuvumilia pindi anapokua na njaa ya mapenz, yy hajali mazngira, muud na hata hisia za mwanamke

Mwanaume unatakiwa ujue kuwa mwanamke anahtaji maandaliz ya kutosha katika tendo, ninapozungumzia maandaliz nazungumzia maandaliz ya kihisia na si maandaliz ya kitandan tu, bali ni maandaliz ya cku nzima ya saikoloji

Unaweza ukamuandaa mpenzi wako kisaikoloji kwa kuzungumzia mambo ya mapenz, kukumbusha cku ya mwisho kusex jins nyote mlivyo enjoy

Wanaume wengi huwa wanakurupuka tu, mtu mpenz wake yuko period (hedhi) yeye hajal tu ni kumvua chupi na kutaka mzigo, mwanamke wake anaumwa yeye hajali tu eti kisa ana nyeg**, mwanamke wake yuko na mimba yeye hajali tu ni kutaka tu kila anapo hitaji

Huu ni ukatili na mnawafanya wanawake wenu wawaogope na kuwaona kama wauwaji na ndo mana hata kama hawaumwi na ww unahtaji hawatak na wanajifanya wanaumwa, hawako period wanavaa ped ili uamin kua yuko period lakin c kweli, hajachoka anajifanya kachoka ili tu na ww usifurahie, mwenzako hana hisia ww unalazmisha tu kula mzgo ni lazma apo apate maumivu

Hii yote inaletwa na tabia yako ya kuto kujali hali zao za mabadiliko, vtendo hiv humchosha sana mwanamke na hata enjoy kwako kabsa coz ushambadili kisaikolojia kwan hata ukimkumbatia tu atakataa anajua mwisho utalazmisha kusex badilika

03.KUWA NA KAURI MBAYA

Kuna baadhi ya wanaume wanajiona kuwa wao ndo kila kitu kwa mwanamke kwakua anapendwa n.k
Huwa wakiona hvyo wanakuwa wepes kujibu ovyo kwa wapenzi wao
Mfno mpenz wake anamuuliza "ulikuwa wap" na yy anajbu "kwan ww ulitaka niwe wapi" au mwanaume anamwambia mpenzi wako

"Leo naomba uje ninaham sana na ww"
Mwanamke anajibu "sawa nitakuja lakin ctakaa sana" mwanaume anasema "na usje kabsa nenda kwa hao bwana zako"

Hizo ni baadh ya ksur znazovunja moyo kwa mwanamke na hii inapelekea kufa moyo wa kukupenda kabsa na kuamua kutafuta njia mbadala ya kuutuliza moyo wake
Wew nawe utabaki tu "ooooh wanamke malaya, kicheche" kumbe ww ndo chanzo umeshindwa kumpa faraja bali umekuwa ni wa mawazo

Vtendo hvyo kama unavyo utaona kila mwanamke ni malaya kwako.na wote hawakufai kwa hzo tabia zako
Ni hayo tu kwa leo jaman

No comments